BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Mbunge wa Marekani: Trump na washirika wake wamenufaika na vita dhidi ya Iran
Hakuna ushahidi unaothibitisha moja kwa moja madai ya Warren kuhusu uhusiano kati ya michango ya kampeni na faida zinazodaiwa kupatikana kutokana na vita hivyo.
Jinsi Donald Trump anavyoisaidia China kuimarika zaidi
Copilot said: Donald Trump aliwaahidi Wamarekani kwamba atairudisha Marekani kwenye nguvu zake za zamani, lakini baadhi ya wachambuzi wanaamini China huenda ndiyo imenufaika zaidi na baadhi ya sera zake.
Vyakula 5 vya Kiafrika ambavyo sayansi inaviona kuwa bora kwa afya
Kuanzia Moringa hadi Fonio, na ikijumuisha Baobab, Mtama, na Teff, vyakula kadhaa vya Kiafrika vinajulikana kwa utajiri wake wa virutubisho.
'Dharau na kiburi' vilivyomfukuzisha Nchimbi CCM
Hii ni kauli ya kwanza kutoka kwa kiongozi wa CCM kueleza hadharani mazingira na uamuzi wa kumfukuza Nchimbi katika chama hicho.
Je, unataka kuhamia Ulaya? - hii hapa siri
"Ni mji mzuri na wenye kukaribisha," anasema Sunday, mmoja wa wateja wa Anik, ambaye amehamia hapo hivi karibuni akitokea Devon.
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Sunderland bado inamuwinda Grealish Man City
Napoli yaonyesha nia ya Woltemade, Sunderland yamuwinda Grealish huku Arsenal ikimfuatilia Fernandez-Pardo
Marekani yachukua udhibiti wa mapipa ya mafuta nchini Venezuela
Rais wa Marekani Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ya kudhibiti zaidi ya mapipa bilioni 65 ya mafuta nchini humo.
Kukaa uchi mbele ya watu wengine kunaweza kukusaidia kuuthamini zaidi mwili wako
Utafiti unaonyesha kuwa kukaa uchi pamoja na watu wengine kunaweza kuwasaidia watu kuwa na mtazamo mzuri zaidi kuhusu miili yao na kuithamini zaidi
Ni nini kilisababisha kuporomoka kwa barafu na kusababisha mafuriko na maafa Nepal?
Kuporomoka kwa barafu ya mlima ndicho chanzo kinachoangaziwa kuchochea mafutiko hayo makubwa.
Mnyika Mahakamani: Si Lissu aliyesambaza video za mkutano wa watia nia
Mnyika aeleza majaji kuwa Lissu hakushiriki katika maandalizi ya mkutano wa Aprili 3 wala kuwaalika waandishi waliohudhuria.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Je, Nchimbi na Gachagua wameponzwa na misimamo yao kisiasa?
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Siri Yafichuliwa: Kwa nini Bomu la Nagasaki halikuweza kuzuiwa
Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, bomu la plutonium liliangushwa katika mji wa Nagasaki nchini Japan, na hivyo kuhitimisha Vita vya Pili vya Dunia.
Silaha 9 za teknolojia ya juu zitakazobadili vita vya siku zijazo
Leo uwanja wa vita unaelekea kwa kasi kwenye silaha zisizoonekana, kupitia akili unde, sumakuumeme, na anga ya juu.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Bidhaa 8 zilizobadilisha dunia
Apple inatimiza miaka 50, safari yenye mafanikio makubwa, changamoto na bidhaa zilizobadilisha dunia. Tunaangazia bidhaa zilizoifanya Apple kuwa kampuni tunayoijua leo.
Mji unaomtengenezea Trump makombora
Mkazi mmoja anasema kuwa katika eneo la Kingsport, Tennessee, lililoko katika ukanda wa milima ya Appalachian, kuna makanisa mengi kiasi kwamba inaonekana kana kwamba kuna kanisa katika kila barabara.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Dawa za kifafa, kilevi kipya cha vijana?
Ili kufurahia kuwa nje usiku na marafiki, awali ilimbidi Matt anywe pombe hadi kuzidiwa na kuwa na maumivu
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 31 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































